Hedhi Salama Videos - Engaging School

The following is a menstrual health management outreach to Mwambisi Forest and Simbani Secondary Schools in Kibaha District, Pwani Region; whereas a pad distribution system was put in place.

Read more

The video report is a result of a menstrual health management outreach to Pangani and Kibaha Girls Secondary Schools in Kibaha District, Pwani Region; whereas a pad distribution system was put in place.

Read more

Hedhi Salama :Rehema Nangu, Mtangazaji wa TBC FM akielezea namna Pedi tiba za Glory zinavyoweza kutatua changamoto mbalimbali za hedhi kwa wasichana na wanawake. Pedi tuba za Glory zimetengenezwa kwa pamba halisi 100% na kuwekwa mkaa wa mianzi ili kufyonza maradufu, kukata harufu mbaya, kumuepushia mtumiaji maambukizi ya fangasi na bakteria pia pedi hizi ni hazina kemikali na ni rafiki kwa mazingira.

Read more

Hedhi Salama : Mwanafunzi wa shule ya sekondari Barabara ya Mwinyi akieleza namna walivyotatua changamoto za hedhi shuleni na kuiwezesha shule yao kupata tuzo na medali za Shujaa wa Hedhi Salama 2020 zilizotolewa na kampuni ya Kasole Secrets. Tuzo hiyo walipewa katika tukio la Uwezo Awards 2020.

Read more

Hedhi Salama : Shule ya Sekondari Barabara ya Mwinyi ni miongoni mwa washindi wa Tuzo na medali za Shujaa wa Hedhi Salama 2020. Kupitia Uwezo Awards, wanafunzi wa shule hii walitengeneza taulo za hedhi za kutumia na kufua pamoja na kifaa cha kuhesabia mzunguko wa hedhi.

Read more

Hedhi Salama : Wanafunzi wa Tungi sekondari kupitia uwezo award, walitunukiwa tuzo na medali za SHUJAA WA HEDHI SALAMA 2020 kutoka Pedi tiba za Glory, baada ya wanafunzi hao kubuni na kutengeneza kifaa cha kuchomea taulo za kike zilizotumika.

Read more

Hedhi Salama : The following is a menstrual health management outreach to Mwambisi Forest and Simbani Secondary Schools in Kibaha District, Pwani Region; whereas a pad distribution system was put in place

Read more

Hedhi Salama : The video report is a result of a menstrual health management outreach to Pangani and Kibaha Girls Secondary Schools in Kibaha District, Pwani Region; whereas a pad distribution system was put in place.

Read more

Hedhi Salama : The following is a launching video titled PPP4MHM (Public Private Partnership for Menstrual Health Management) in partnership with National Institute for Medical Research and supported by Grands Défis Canada; launched in Kibaha District

Read more

Mikocheni Secondary School is one among beneficiary schools to Sauti ya Binti project, launched in September 2018, aimed at educating girls on puberty, good menstrual hygiene management and equip schools with learning resources with support from the American People.

Read more

Hedhi Salama : Engaging Schools

Read more