Hedhi Salama Videos - Daughters in need

Wanafunzi kutoka katika shule 6 za Halmashauri ya Mji wa Kibaha, watoa maoni yao kuhusu matumizi ya pads.

Read more

Mradi wa Hedhi Salama uliofanyika katika shule 6 za Halmashauri ya Mji wa Kibaha, zawapa walimu fursa ya kutoa maoni yao juu ya matumizi ya pads na wanafunzi kuelezea mtazamo wao kuhusu klabu ya afya shuleni.

Read more

Hedhi Salama kwa mabinti wenye mahitaji maalumu

Read more

Mwanafunzi akieleza kwa nini ni vigumu kukaa darasani akiwa hedhi

Read more

Binti anaeleza anaogopa kwenda Shule akiwa hedhi kwani hubaguliwa

Read more

Binti ashauri semina ziendelee ili mabinti wengi wawe na uelewa

Read more