MABINTI WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, WAPATA NAFASI YA KUJIFUNZA JUU YA HEDHI SALAMA

Mabinti wakifurahia zawadi za Glory pads walizopatiwa na kampuni ya Kasole secrets katika maandalizi ya kujiandaa kusherehekea siku ya hedhi duniani.