WAHAMASISHAJI WA MASWALA YA AFYA KATIKA KAMBI YA WAKIMBIZI WASHIRIKI WARSHA YA HEDHI SALAMA

Picha ya Pamoja na wahamasishaji wa afya kutoka shirika la TWESA baada ya kumaliza kuongea na wanafunzi katika moja ya secondary Kambini Nyarugusu, pia katika picha hii wa kwanza kulia na wa mwisho kushoto katika hao walio simama ni walimu wa shule hii.