Glory Sanitary Products
Hedhi Salama ni nini?
Hedhi salama ni hali ya mwanamke au msichana aliye katika hedhi kuwa na uwezo wa kupata kifaa salama na nafuu cha kuzuia damu, kupata maji safi na salama ya kujisafishia, kuwa na maliwato yenye mlango kwa ajili ya kujisitiri na kubadilishia vifaa vyake pia kupata sehemu sahihi ya kutupa au kutunzia kifaa chake baada ya kukitumia